Nyota wa Liverpool, Mohamed Salah akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya 84 ikitoka nyuma kwa bao 1-0 na kushinda mabao 2-1 dhidi Crystal Palace baada ya Luka Milivojevic kuanza kuwafunfia wenyeji dakika ya 13 kwa penalti kufuatia Loris Karius kumchezea rafu Wilfried Zaha, kabla ya Msenegali Sadio Mane kuwasawazishia wageni dakika ya 49 akimalizia krosi ya James Milner PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wheatley reacts to historic 'honour'
-
See what 18-year-old Ethan said, after becoming the club's 250th player to
graduate from the Academy.
48 minutes ago
0 comments:
Post a Comment