• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 23, 2018

  'MENU' LA ANTHONY JOSHUA KUELEKEA PAMBANO NA PARKER

  Bondia bingwa wa dunia wa uzito wa juu, Anthony Joshua ameposti picha hii ya vyakula anavyokula kama vinavyoonekana, ambavyo pia vimeandikwa juu ya picha kulia. Joshua atapanda ulingoni Machi 31 kupigana na bingwa mwenzake wa uzito wa juu, Joseph Parker mjini Cardiff katika pambano la kuunganisha mataji PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'MENU' LA ANTHONY JOSHUA KUELEKEA PAMBANO NA PARKER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top