Kipa David De Gea akiwa mnyonge baada ya kufungwa bao la pili na Wissam Ben Yedder wa Sevilla usiku wa Jumanne, Manchester United wakichapwa 2-1 katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya na kutolewa baada ya sare ya 0-0 kwenye mchezo wa kwanza Hispania. Ben Yadder alifunga dakika za 74 na 78, wakati bao la United lilifungwa na Romelu Lukakiu dakika ya 84 Uwanja wa Old Trafford PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Newcastle's Hall keen on Man Utd switch - Friday's gossip
-
Manchester United keen on wantaway Newcastle left-back Lewis Hall, Spanish
giants close in on Bernardo Silva, Real Madrid target Manchester City's
Josko Gv...
15 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment