Mshambuliaji Edin Dzeko akimpiga tobo kipa wa Shakhtar Donetsk, Andriy Pyatov kuifungia bao pekee Roma dakika ya 52 ikishinda 1-0 katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Olimpiki mjini Roma na kufanya sare ya jumla ya 2-2 baada ya kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza Uturuki. Roma inakwenda Robo Fainali kwa faida ya mabao ya ugenini, ikiungana na Juventus, Real Madrid na Sevilla zilizozitoa PSG, Tottenham na Manchetser United PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jets, Raiders' Depth Chart, Salary Cap, NFL Draft Picks After Davante Adams
Trade
-
Amid a three-game losing streak, the New York Jets are acquiring one of the
best wide receivers in the NFL in hopes of turning things around. Per NFL…
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment