Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akiwa na mshambuliaji wake, Alexis Sanchez mazoezini leo viwanja vya Colney, London baada ya kumrejesha nyota huyo kikosi cha kwanza kuelekea mchezo na Crystal Palace kesho Uwanja wa Emirates. Ikumbukwe Wenger alimundoa Mchile hiyo kikosi cha kwanza na kwenda kufanya mazoezi na timu ya watoto akitarajia uhamisho wake kwenda Manchester United ungekamilika mapema PICHA ZAIDI GONGA HAPA
2026 World Cup Qualifiers: I don't pay attention to the statistics - Ghana
coach Otto Addo ahead of Chad, Madagascar games
-
Black Stars coach, Otto Addo says he is not interested in the staticstics
ahead of the team's 2026 World Cup qualifiers against Chad and
Madagascar.Ghana e...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment