• HABARI MPYA

        Friday, January 19, 2018

        UTAMBULISHIO WA MAKOCHA WAPYA SIMBA SC SERENA LEO

        Rais wa Simba Sc, Salim Abdallah 'Try Again' (kulia) akimkabidhi jezi kocha mpya, Mfaransa, Pierre Lechantre leo ukumbi wa Kivukoni 4, hoteli ya Serena mjini Dar es Salaam. Kushoto ni wakala wa kocha huyo 
        Hapa Pierre Lechantre akiwa ameshika jezi na Msaidizi wake,  kocha wa mazoezi ya viungo, Mmorocco Mohammed Aymen Hbibi (kulia) 
        Pierre Lechantre akizungumza na Waandishi wa Habari leo Dar es Salaam 
        Salim Abdallah 'Try Again' akisaini mkataba na kocha Pierre Lechantre 
        Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah (kushoto) akibadilishana nakala za mikataba na kocha Pierre Lechantre 
        Pierre Lechantre, Mohammed Aymen Hbibi wakati wanawasili hoteli ya Serena na wakala wao 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: UTAMBULISHIO WA MAKOCHA WAPYA SIMBA SC SERENA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry