Kocha Mkuu wa Yanga, Mzambia George Lwandamina (kulia) akiwa jukwaani Uwanja wa Uhuru leo wakati timu yake ikimenyana na Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara na kutoka sare ya 0-0. Inadaiwa Lwandamina kibali chake cha kufanya kazi nchini kimemaliza muda wake
Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa (kulia) akishuhudia mchezo huo leo. Kushoto ni Samuel Lukumay Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga
Athletics: World Indoor Championships
-
Live coverage from day two of the 2025 World Indoor Athletics Championships.
14 minutes ago
0 comments:
Post a Comment