Waafrika Jordan Ayew na Wilfried Bony wakishangilia baada ya wote kuifungia Swansea City usiku wa jana Uwanja wa Liberty katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Wolves na kuiwezesha timu yao kwenda Raundi ya Nne ya Kombe la FA England. Ayew alifunga dakika ya 11 na Bonny dakika ya 69, wakati bao la Wolves lilifungwa na Diogo Jota dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Injury ends Williams' Wimbledon comeback
-
Serena Williams pulls out of her planned Wimbledon doubles appearance with
older sister Venus because of a knee injury.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment