// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NI HUZUNI NA VILIO SAFARI YA MWISHO YA NDIKUMANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NI HUZUNI NA VILIO SAFARI YA MWISHO YA NDIKUMANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, November 16, 2017

    NI HUZUNI NA VILIO SAFARI YA MWISHO YA NDIKUMANA

    Wachezaji wa klabu ya Rayon Sports akiwemo Ismailla Diarra (kushoto) na Tidiane Kone (kulia), wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa Kocha wao Msaidizi, Hamadi Ndikumana 'Katauti (picha ndogo juu kushoto) jana nyumbani kwake, eneo la Nyakabanda kwenda msikiti wa Qaddafi uliopo Nyamirambo, kabla ya mazishi yaliyofanyika jana. PICHA NA TIMOTH KISAMBIR (NEW TIMES/RWANDA)
    Mzee Ndikumana, baba wa Hamad Ndikumana, mchezaji na Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Rwanda, akilia kwa uchungu wa kumpoteza mwanawe
    Mama wa marehemu naye akilia kwa uchungu wakati mwili wa mwanawe unaondoka 
    Nyumbani kwa marehemu ndugu na jamaa wakiwa wenye wenye majonzi 
    Ndugu na jamaa wakiwa wenye wenye majonzi nyumbani kwa marehemu
    Watoto wadogo pia walihudhuria mazishi ya mume wa zamani wa mcheza filamu wa Tanzania, Irene Uwoya
    Waombolezaji wakilia kwenye msiba wa Katauti aliyewahi kucheza soka ya kulipwa Ubeligiji na Cyprus 
    Ilikuwa ni huzuni kwa wengi miongoni mwa waombolezaji waliojitokeza 
    Waziri wa Nchi wa Elimu ya Msingi na Sekondari, Isaac Munyakazi alikuwepo pia Nyakabanda kutoa heshima zake za mwisho
    Hapa watu wanakwenda kuzika. Buriani Hamadi Ndikumana 'Katauti'
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NI HUZUNI NA VILIO SAFARI YA MWISHO YA NDIKUMANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top