Cristiano Ronaldo wa Real Madrid akimruka Gustavo Cabral wa Celta Vigo katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Celta Vigo ilishinda 2-1 ugenini, hicho kikiwa kipigo cha pili mfululizo kwa Real Madrid kufuatia wiki iliyopita pia kufungwa 2-1 na Sevilla katika La Liga baada ya kucheza mechi 40 bila kufungwa. Bao la Real lilifungwa na Marcelo dakika ya 69 wakati ya Celta Vigo yalifungwa na Iago Aspas dakika ya 64 na Jonny Castro dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment