Lucas Leiva akishangilia baada ya kuifungia Liverpool dakika ya 18 bao pekee katika ushidi wa 1-0 ugenini dhidi ya wenyeji Plymouth kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe La FA England usiku wa jana Uwanja wa Home Park, Plymouth. Divock Origi alikosa penalti dakika ya 87 iliyookolewa na kipa na sasa Liverpool itapambana na timu ya Daraja la Kwanza, Wolves Uwanja wa Anfield katika Raundi ya Nne ya FA PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Growth can't be reserved for London and big cities warns Chancellor as
capital to bear brunt of tax rises
-
In a major speech on Monday, Chancellor John Healey will outline plans
aimed at driving long-term development across the country
30 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment