Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic akiuvuta mpira kiutaalamu katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo dhidi ya Liverpool Uwanja wa Old Trafford. Ibrahimovic aliifungia Man United bao la kusawazisha dakika ya 84 baada ya James Milner kutangulia kuifungia Liverpool kwa penalti dakika ya 27, kufuatia Paul Pogba kuunawa mpira akimdhibiti Dejan Lovren PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment