Lionel Messi akiwatoka wachezaji wa Real Sociedad katika mechi ya kwanza ya Robo Fainali Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Manispaa ya Anoeta mjini San Sebastian. Barca ilishinda 1-0 nao pekee la Neymar dakika ya 21 kwa penalti, huo ukiwa ushindi wao wa kwanza mjini humo baada ya miaka 10 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment