Kocha Mkuu wa timu ya soka ya wasichana chini ya umri wa miaka 17 (U-17), Sebastian Nkoma akitoa maelekezo kwa wachezaji wa timu hiyo jana wakati wa Kliniki ya Airtel Rising Stars inayoendelea Uwanja wa Jakaya Kikwete, Dar es Salaam kutafuta vijana wenye vipaji kuunda timu ya taifa
0 comments:
Post a Comment