Beki Marcos Alonso (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake, Victor Moses (kushoto) na Gary Cahill (kulia) baada ya kuifungia Chelsea mabao mawili dakika za sita na 51 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji Leicester City Uwanja wa King Power usiku wa Jumamosi kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la Chelsea limefungwa na Pedro dakika ya 71 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment