Lionel Messi (kushoto) na Luis Suarez (kulia) wakishangilia baada ya wote kufunga katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Las Palmas Jumamosi Uwanja wa Camp Nou kwenye mchezo wa La Liga. Suarez alifunga mabao mawili dakika za 14 na 57, Messi moja dakika ya 52, Turan dakika ya 59 na Vidal dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Kano Govt Panel clears St. Louis Girls Secondary School of wrongdoing in
student’s death
-
By Desmond Mgboh, Kano A Kano State Government panel has cleared St. Louis
Secondary School of any wrongdoing in the death of a female student,
concludin...
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment