Kiungo wa Mtibwa Sugar, Shizza Kichuya akimiliki mpira katika ya wachezaji wa URA katika fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. URA ilishinda 3-1 |
Kiungo mshambuliaji wa URA, Moor Semakula (wa pili kulia) akiwania mpira dhidi ya wachezaji wa Mtibwa Sugar
Kiungo mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Mohammed Ibrahim (kushoto) akiwania mpira dhidi ya Sam Sekito wa URA
Kiungo cmhezeshaji wa Mtibwa Sugar, Ibrahim Rajab 'Jeba' akimtoka beki wa URA katika mchezo wa jana |
Wachezaji wa Mtibwa na URA wakiwania mpira wa juu jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar |
Kikosi cha URA kilichoichapa Mtibwa Sugar jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar |
Mtibwa Sugar imefungwa kwa mara ya pili mfululizo katika fainali ya Kombe la Mapinduzi |
0 comments:
Post a Comment