Refa Mike Dean aliwapa penalti Manchester United baada ya kiungo Marouane Fellaini kuupiga mpira kichwa ukagusa kwenye mkono wa Chancel Mbemba Newcastle usiku wa jana Uwanja wa St James Park katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliomalizika kwa sare ya 3-3. Mabao ya Man United yalifungwa na Nahodha Wayne Rooney kwa penalti dakika ya tisa, dakika ya 79 na Jesse Lingard dakika ya 38, wakati ya Newcastle yalifungwa na Georginio Wijnaldum dakika ya 42, Aleksandar Mitrovic dakika ya 67 kwa penalti na Paul Dummett dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
World Cup fans brand goalie Maduka Okoye the sexiest footballer on the
planet - even though he's not playing in the tournament
-
It doesn't hurt that the 26-year-old stands 198cm tall, stars in Italy's
Serie A competition and can speak six languages.
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment