MALINZI KATIKA MEZA YA MAZUNGUMZO NA KIM POULSEN...MAMBO YAMEIVA!
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (kulia) akiwa mezani mwa mazungumzo na kocha Mdenmark, Kim Poulsen ambaye anatarajiwa kupewa Mkataba wa kufundisha timu za taifa za vijana.
0 comments:
Post a Comment