MNIGER WA YANGA MAZOEZINI MKWAKWANI LEO, JE ATASAJILIWA?
Kiungo wa kimataifa wa Niger, Issoufou Boubacar Garba (kushoto) akifanya mazoezi na wenzake leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mgambo JKT. Hata hivyo, Garba bado yuko kwenye majaribio na Yanga haijatangaza kama imemsajili.
0 comments:
Post a Comment