• HABARI MPYA

    Sunday, November 09, 2014

    YANGA NA MGAMBO KATIKA PICHA TAIFA JANA

    Kiungo wa Yanga SC, Mbrazil Andrey Coutinho akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Mgambo JKT, Bashiru Mohamed katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 2-0
    Kikosi cha kwanza cha Yanga jana

    Kikosi cha Mgambo JKT jana

    Wachezaji wa Yanga SC wakishangilia bao lao la pili jana

    Kocha wa Yanga SC, Mbrazil Marcio Maximo akimpongeza mfungaji wa mabao yote mawili jana, Simon Msuva  

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA MGAMBO KATIKA PICHA TAIFA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top