• HABARI MPYA

    Sunday, November 09, 2014

    AZAM FC NA COASTAL UNION 'WALIVYOKITIFUA' JANA CHAMAZI

    Beki wa Coastal Union, Tumba Swedi kushoto akipiga mpira mbele ya mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-1
    Beki wa Azam FC, Gardiel Michael akimtoka beki wa Coastal, Mbwana Hamisi KIbacha aliyelala chini
    Kipa wa Coastal Union, Shaaban Kado akiwa ameruka juu kuondosha hatari langoni mwake jana
    Beki wa Coastal, Sabir Rashid akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche
    Kiungo wa Azam FC, Kipre Balou akipiga mpira mbele ya mshambuliaji wa Coastal, Bright Obinna 
    Kiungo wa Azam FC, Himid Mao (kushoto) akipambana kumtoka Kenneth Masumbuko wa Coastal jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC NA COASTAL UNION 'WALIVYOKITIFUA' JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top