• HABARI MPYA

    Monday, November 03, 2014

    PIGO MAN UNITED, MARCOS ROJO NJE MIEZI MITATU BAADA YA KUUMIA BEGA JANA

    BEKI wa Manchester United, Marcos Rojo anatarajiwa kuwa nje hadi miezi mitatu baada ya kuumia beta katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana dhidi ya Manchester City.
    Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Etihad na Manchester United kuchapwa 1-0, beki huyo alitolewa nje kwa machela dakika ya 56 baada ya kuumia wakati aliokoa kwa kuutelezea mpira.
    Hali ya Rojo si nzuri na mlinzi huyo wa kimataifa wa Argentine atakosekana kwa angalau wiki sita.
    Beki wa Manchester United, Marcos Rojo anatarajiwa kuwa nje hadi miezi mitatu baada ya kuumia bega jana
    The 24-year-old was carried off on a stretcher and will be missing for at least six weeks 
    Hapa ni wakati anatolewa nje 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PIGO MAN UNITED, MARCOS ROJO NJE MIEZI MITATU BAADA YA KUUMIA BEGA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top