• HABARI MPYA

  Saturday, January 05, 2019

  SOLSKJAER AISHINDISHA MAN UNITED MECHI YA TANO MFULULIZO

  Romelu Lukaku akishangilia na Alexis Sanchez baada ya kuifungia Manchester United bao la pili dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Reading leo kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu ya Kombe la FA England Uwanja wa Old Trafford. Bao la kwanza la United limefungwa na Juan Mata dakika ya 22 kwa penalti, huo ukiwa ushindi wa tano mfululizo chini ya kocha mpya, Ole Gunnar Solskjaer baada ya kufukuzwa kwa Jose Mourinho 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SOLSKJAER AISHINDISHA MAN UNITED MECHI YA TANO MFULULIZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top