• HABARI MPYA

  Friday, January 11, 2019

  BARCELONA YACHAPWA 2-1 NA LEVANTE KOMBE LA MFALME HISPANIA

  Kiungo wa Levante, Ruben Rochina akijaribu kumdhibiti nyota wa Barcelona, Philippe Coutinho katika mchezo wa Robo Fainali ya kwanza ya Kombe la Mfalme Hispania usiku wa jana Uwanja wa Ciudad de Valencia. Levante ilishinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Erick Cabaco dakika ya nne na Borja Mayoral anayecheza kwa mkopo kutoka Real Madrid dakika ya 18, wakati la Barcelona lilifungwa Coutinho kwa penalti dakika ya 85 na timu hizo zitarudiana Januari 17 Camp Nou  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YACHAPWA 2-1 NA LEVANTE KOMBE LA MFALME HISPANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top