• HABARI MPYA

  Thursday, April 04, 2024

  MCHEZAJI WA PAMBA AFUNGIWA KWA KUMPIGA REFA


  KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imemfungia mechi tatu mchezaji wa Pamba FC ya Mwanza na kumtoza faini ya Sh. Milioni 2 kwa makosa ya kumpiga refa na kupiga teke mlango wa kuingilia chumba cha kubadilishia nguo hadi kuuharibu.
  GONGA HAPA KUSOMA TAARIFA KAMILI YA BODI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MCHEZAJI WA PAMBA AFUNGIWA KWA KUMPIGA REFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top