• HABARI MPYA

  Tuesday, January 03, 2023

  SINGIDA BIG STARS YAANZA VYEMA KOMBE LA MAPINDUZI


  TIMU ya Singida Big Stars imeanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya KMKM usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Mabao ya Singida Big Stars katika mchezo huo wa Kundi B yamefungwa na Mbrazil Bruno Gomes na mzawa, Yusuph was Kagoma.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SINGIDA BIG STARS YAANZA VYEMA KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top