• HABARI MPYA

  Sunday, September 05, 2021

  USAJILI WA TIMU ZOTE LIGI KUU MSIMU WA 2021-2022

   

  DIRISHA za usajili kwa ajili ya msimu mpya wa 2021-2022 lilifungwa rasmi Agosti 31 Saa 6:00 usiku kwa kushuhudia klabu 16 zitakazoshiriki Ligi Kuu Bara zikibeba majembe ya maana vikosini mwao.
  Kwa mujibu wa gazeti la Mwanaspoti, baadhi ya klabu zililazimika kutumia dakika za mwisho kabla ya dirisha kufungwa kukamilisha usajili wa wachezaji zilizowataka, lakini sehemu kubwa ya timu zilikamilisha mapema hususani vigogo Simba na Yanga.
  Kama kawaida Mwanaspoti linakuletea usajili wa safari hii ulivyo kwa kukuainishia nani katoka wapi na kaenda wapi kabla ya kusubiri kuidhinishwa rasmi na kamati zilizopo chini ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi (TPLB) ili kazi iendelee kwa msimu mpya utakaozinduliwa Septemba 25.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: USAJILI WA TIMU ZOTE LIGI KUU MSIMU WA 2021-2022 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top