• HABARI MPYA

  Friday, June 12, 2020

  WACHEZAJI WA YANGA SC WAKIWA MAZOEZINI UWANJA WA FRESHO KUJIANDAA KUIVAA MWADUI FC KESHO KAMBARAGE

  Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Khalfan Ngassa akiwa na wachezaji wenzake mazoezini Uwanja wa Fresho mjini Shinyanga kujiandaa kuwakabili Mwadui FC katika mchezo wa kiporo wa Ligi Kuu ya Tanzania ya Bara Jumamosi Uwanja wa CCM Kambarage 

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Ditram Nchimbi akiwa na wachezaji wenzake mazoezini Uwanja wa Fresho mjini Shinyanga jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WACHEZAJI WA YANGA SC WAKIWA MAZOEZINI UWANJA WA FRESHO KUJIANDAA KUIVAA MWADUI FC KESHO KAMBARAGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top