• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 25, 2020

  LIVERPOOL YAICHAPA CRYSTAL PALACE 4-0 NA KUUKARIBIA UBINGWA ENGLAND

  Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la nne dakika ya 69 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Anfield. Mabao mengine yalifungwa na Trent Alexander-Arnold dakika ya 23, Mohamed Salah na Fabinho na kwa ushindi huo Liverpool inahitaji ushindi katika mchezo ujao dhidi ya Manchester City Julai 2 kutawazwa rasmi kuwa mabingwa wapya wa England 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA CRYSTAL PALACE 4-0 NA KUUKARIBIA UBINGWA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top