• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 13, 2020

  MBWANA SAMATTA ALIVYO 'FITI' ASTON VILLA IKIJIANDAA KUIVAA SHEFFIELD UNITED JUMATANO LIGI KUU ENGLAND

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta akijiandaa kupiga shuti mazoezini timu  yake, Aston Villa ikijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumatano dhidi ya Sheffield United kuanzia Saa 2:00 usiku Uwanja wa Villa Park 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MBWANA SAMATTA ALIVYO 'FITI' ASTON VILLA IKIJIANDAA KUIVAA SHEFFIELD UNITED JUMATANO LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top