• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 15, 2020

  KIKOSI CHA YANGA SC KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MAWAZIRI WA MICHEZO BUNGENI JIJINI DODOMA

  Wachezaji wa Yanga SC wakiwa Bungeni Jijini Dodoma leo pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa Michezo, Dk Harrison Mwakyembe na Naibu wake, Juliana Shonza. Kikosi cha Yanga kimetambulishwa leo Bungeni baada ya kuwasili Dodoma kwa ajili ya mchezo wake wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Jumatano dhidi ya JKT Tanzania Uwanja wa Jamhuri
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA YANGA SC KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MAWAZIRI WA MICHEZO BUNGENI JIJINI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top