• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 17, 2020

  BARCELONA YAICHAPA LEGANES 2-0 NA KUZIDI KUKARIBIA TAJI LA LIGA

  Mshambuliaji Lionel Messi akishangilia kwa aina yake baada ya kuifungia Barcelona bao la pili kwa penalti dakika ya 69 kufuatia chipukizi Ansu Fati kufunga la kwanza dakika ya 42 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Leganes kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou usiku wa jana.
  Sasa Barcelona wanafikisha pointi 64 baada ya kucheza mechi 29 na kuendelea kuongoza La Liga kwa pointi tano zaidi ya mahasimu wao, Real Madrid ambao kesho watamenyana na Valencia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCELONA YAICHAPA LEGANES 2-0 NA KUZIDI KUKARIBIA TAJI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top