• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 19, 2020

  KIJANA IDDI KIPAGWILE AKIJIFUA KUPIGA MICHOMO YA HATARI AZAM FC IKIJANDAA KUKABILI YANGA SC JUMAPILI

  Kiungo wa Azam FC, Iddi Kipagwile akipiga mpira mazoezini, Uwanja wa Azam Complex, Chamazi timu yake ikijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Yanga SC Jumapili Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam

  Kocha Mromania, Aristica Cioaba akitoa maelekezo kwa wachezaji wake kuelekea mechi na Yanga SC Jumapili Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIJANA IDDI KIPAGWILE AKIJIFUA KUPIGA MICHOMO YA HATARI AZAM FC IKIJANDAA KUKABILI YANGA SC JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top