• HABARI MPYA

    Wednesday, June 17, 2020

    JONAS MKUDE AANZA KUFANYA MAZOEZI MEPESI SIMBA SC BAADA YA KUUMIA KWENYE MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA KMC

    Kiungo wa Simba SC, Jonas Mkude (kushoto) akifanya mazoezi mepesi kufuatia kuumia kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC wiki iliyopita Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JONAS MKUDE AANZA KUFANYA MAZOEZI MEPESI SIMBA SC BAADA YA KUUMIA KWENYE MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA KMC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top