• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 28, 2020

  ROSS BARKLEY AIPELEKA CHELSEA NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND

  Ross Barkley akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Chelsea dakika ya 63 ikiwalaza wenyeji, Leicester City 1-0 Uwanja wa King Power na kutinga Nusu Fainali ya Kombe la FA England 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ROSS BARKLEY AIPELEKA CHELSEA NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top