• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 12, 2020

  KIKOSI KAMILI, KIPANA CHA MABINGWA WA NCHI KIKIJIANDAA KWA MCHEZO WA LIGI KUU DHIDI YA RUVU SHOOTING

  Wachezaji wa klabu bingwa Tanzania mara mbili mfululizo, Simba SC wakiwa mazoezini Uwanja wa Mo Simba Arena Jijini Dar es Salaam kujiandaa kuwakabili Ruvu Shooting katika mchezo wa kiporo wa Ligi Kuu ya Tanzania ya Bara Jumapili Uwanja wa Taifa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIKOSI KAMILI, KIPANA CHA MABINGWA WA NCHI KIKIJIANDAA KWA MCHEZO WA LIGI KUU DHIDI YA RUVU SHOOTING Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top