• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 22, 2020

  EVERTON YACHELEWESHA SHEREHE ZA UBINGWA LIVERPOOL,

  Nyota wa Everton, Tom Davies akikosa bao la wazi baada ya kugongesha nguzo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya mahasimu wao, Liverpool uliomalizika kwa sare ya 0-0 Uwanja wa Goodison Park usiku wa jana. Sasa Liverpool watasubiri kushinda dhidi ya Crystal Palace ili kutangaza ubingwa na hiyo ni iwapo Manchester City hawatashinda dhidi ya Burnley 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: EVERTON YACHELEWESHA SHEREHE ZA UBINGWA LIVERPOOL, Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top