FUNDI UTAMJUA TU, HUYU NI SALUM ABUBAKAR 'SURE BOY', KIUNGO HODARI WA KLABU YA AZAM FC
Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akiuchukua mpira kwa ustadi wa hali ya juu kwenye mazoezi ya timu yake jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam kujiandaa kumalizia msimu
0 comments:
Post a Comment