• HABARI MPYA

  Thursday, June 18, 2020

  NAPOLI WATWAA COPPA ITALIA BAADA YA KUIPIGA JUVE KWA PENALTI 4-2

  Wachezaji wa Napoli wakisherehekea na taji la Coppa Italia baada ya ushindi wa penalti 4-2 kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Juventus usiku wa Jumatano Uwanja wa Olimpico Jijini Roma kufuatia sare ya 0-0. 
  Paulo Dybala na Danilo walikosa penalti kwa upande wa Juve, wakati Napoli walifunga penalti zao zote nne za mwanzo kumpa kocha Gennaro Gattuso taji la kwanza baada ya kuwa kocha wa timu hiyo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAPOLI WATWAA COPPA ITALIA BAADA YA KUIPIGA JUVE KWA PENALTI 4-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top