• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 26, 2020

  SERIKALI YAZUIA MASHABIKI KUINGIA MECHI ZA SIMBA NA YANGA MIKOANI, MBEYA CITY YAKIONA CHA MOTO

  Na Mwandshi Wetu, DAR E SAALAM
  SERIKALI imeizuia Mbeya City kucheza na mashabiki katika uwanja wake wa nyumbani wa Sokoine Jijini Mbeya, ikidaiwa kukiuka mwongozo wa wizara ya Afya juu ya tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona katika mchezo wake dhidi ya Simba SC juzi.
  Taarifa iliyotolewa leo na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema serikali imezuia pia mashabiki kuingia viwanjani katika mechi zote zinazohusu Simba na Yanga nje ya Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SERIKALI YAZUIA MASHABIKI KUINGIA MECHI ZA SIMBA NA YANGA MIKOANI, MBEYA CITY YAKIONA CHA MOTO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top