• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 29, 2020

  REAL MADRID YAICHAPA ESPANYOL 1-0 NA KUPAA KILELENI LA LIGA

  Kiungo Mbrazil, Carlos Henrique Casemiro akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Real Madrid bao pekee dakika ya 45 akimalizia pasi ya mshambuliaji Mfaransa, Karim Benzema katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Espanyol kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa RCDE. Kwa ushindi huo, Real Madrid inafikisha pointi 71 baada ya kucheza mechi 32, sasa Los Blancos wakiwazidi pointi mbili mabingwa watetezi, Barcelona 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAICHAPA ESPANYOL 1-0 NA KUPAA KILELENI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top