• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 08, 2020

  'KAPTENI' JOHN RAPHAEL BOCCO APIGA MBILI SIMBA SC IKIICHAPA KMC 'KIBOKO YA YANGA' 3-1 MECHI YA KIRAFIKI LEO BUNJU

  Kiungo wa Simba SC kutoka Msumbiji, Luis Miquissone (kushoto) akimpongeza mshambuliaji na Nahodha wa timu hiyo, John Raphael Bocco baada ya kufunga mabao mawili dakika za 34 na 75 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya KMC jioni ya leo kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Bao lingine la Simba SC limefungwa na Ibrahim Ajibu dakika ya 88, wakati la KMC limefungwa na Charles Ilamfya dakika ya 30. KMC jana iliwachapa Yanga 3-0 katika mchezo mwingine wa kirafiki na Simba leo asubuhi imeifungaTransit Camp 4-2 hapo hapo Bunju   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'KAPTENI' JOHN RAPHAEL BOCCO APIGA MBILI SIMBA SC IKIICHAPA KMC 'KIBOKO YA YANGA' 3-1 MECHI YA KIRAFIKI LEO BUNJU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top