• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 19, 2020

  KAPTENI JOHN BOCCO NA KINARA WA MABAO NCHINI, MEDDIE KAGERE WOTE WAPO FITI SIMBA IKIJIANDAA KUIVAA MWADUI FC KESHO

  Washambuliaji wa Simba SC, Nahodha John Bocco (kushoto) na Meddie Kagere (kulia) wakiwa makini kwenye mazoezi ya timu yao jana Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mwadui FC kesho Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salam
  Kiungo wa kimataifa wa Kenya, Francis Kahata akijaribu kumlamba chenga Nahodha wake, John Bocco  

  Hapa Nahodha na mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, John Bocco akimtoka mwenzake mazoezini
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KAPTENI JOHN BOCCO NA KINARA WA MABAO NCHINI, MEDDIE KAGERE WOTE WAPO FITI SIMBA IKIJIANDAA KUIVAA MWADUI FC KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top