• HABARI MPYA

    Saturday, June 20, 2020

    BERNARD MORRISON ALIVYOUNGANA NA WENZAKE JANA YANGA SC IKIJIANDAA KUMENYANA NA AZAM FC KESHO TAIFA

    Kiungo mshambuliaji Mghana wa Yanga SC, Bernard Morrison (kulia) akizungumza na wenzake mazoezini jana Uwanja wa Chuo cha Sheria Jijini Dar es Salaam baada ya kujiunga nao kufuatia kukosa mechi mbili za ugenini kwa sababu ya maumivu 
    Yanga SC inatarajiwa kumenyana na Azam FC kesho Uwanja wa Taifa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BERNARD MORRISON ALIVYOUNGANA NA WENZAKE JANA YANGA SC IKIJIANDAA KUMENYANA NA AZAM FC KESHO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top