• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 11, 2020

  BAYERN MUNICH YAICHAPA EINTRACHT FRANKFURT 2-1 DFB POKAL

  Wachezaji wa Bayern Munich wakimpongeza Robert Lewandowski baada ya kufunga bao la pili dakika ya 74 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Eintracht Frankfurt kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Ujerumani, maarufu kama DFB Pokal usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich. Bao lingine la Bayern Munich lilifungwa na Ivan Perisic dakika ya 14, wakati la Eintracht Frankfurt lilifungwa na Danny da Costa dakika ya 69 na sasa Bavarian watakutana na Bayer Leverkusen katika fainali mwezi ujao Berlin 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BAYERN MUNICH YAICHAPA EINTRACHT FRANKFURT 2-1 DFB POKAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top