• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 20, 2020

  ARSENAL YACHAPWA TENA ENGLAND, YAPIGWA 2-1 NA BRIGHTON ALBION

  Neal Maupay akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Brighton & Hove Albion dakika ya 90 ushei ikiilaza Arsenal 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Amex. Bao la kwanza la Brighton limefungwa na Lewis Dunk dakika ya 75 kufuatia Nicolas Pepe kuanza kuifungia Arsenal dakika ya 68 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YACHAPWA TENA ENGLAND, YAPIGWA 2-1 NA BRIGHTON ALBION Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top