• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 04, 2020

  AMBAVYO MKALI WA MABAO LIGI KUU MEDDIE KAGERE YUKO FITI SIMBA SC IKIJIANDAA KUMALIZIA MSIMU KWA KISHINDO

  Mshambuliaji wa Simba SC, Meddie Kagere akiudhibti mpira dhidi ya beki, Kennedy Wilson kwenye mazoezi ya timu hiyo jana Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam, mabingwa hao watetezi wakijiandaa kumalizia msimu wa Ligi Kuu ya Tanzania waliouanza vyema na wanaelekea kutwaa taji la tatu mfululizo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AMBAVYO MKALI WA MABAO LIGI KUU MEDDIE KAGERE YUKO FITI SIMBA SC IKIJIANDAA KUMALIZIA MSIMU KWA KISHINDO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top