• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 23, 2020

  MAHREZ APIGA MBILI MAN CITY YAICHAPA BURNLEY 5-0

  Riyad Mahrez akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika za 43 akimalizia pasi ya Fernandinho na 45 na ushei kwa penalti katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yalifungwa na Phil Foden mawili pia dakika za 22 na 63 na David Silva dakika ya 51 na kwa ushindi huo, Liverpool itahitaji kushinda mechi mbili zijazo ili kutawazwa rasmi kuwa mabingwa wapya wa England 
    

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAHREZ APIGA MBILI MAN CITY YAICHAPA BURNLEY 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top