• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 23, 2020

  AZAM FC WALIVYOWASILI MJINI BUKOBA LEO KWA NDEGE MAALUM TAYARI KUIVAA KAGERA SUGAR KESHO KAITABA

  Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya akiteremka kwenye ndege baada ya kikosi cha timu hiyo kuwasili mjini Bukoba asubuhi ya leo tayari kwa mchezo wake wa Ligi Kuu ya Tanzania dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar kesho Uwanja wa Kaitaba. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOWASILI MJINI BUKOBA LEO KWA NDEGE MAALUM TAYARI KUIVAA KAGERA SUGAR KESHO KAITABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top